14/04/2020
ZIJUE TIBA NA FAIDA ZA MMEA WA MANJANO (BINZARI) TURMERIC:
Mmea wa manjano una faida kubwa sana katika mwili juu ya upambanaji na kuyatibu maradhi mengi katika mwili, na husaidia kuondoa maumivu mbalimbali katika mwili. Katika tafiti mbalimbali zilizofanywa na wataalam wa tiba za mimea, zimesema kuwa matumizi ya mmea wa manjano k**a tiba peke yake au ukichanganywa na dawa zingine za asili una uwezo wa kupunguza maumivu yatokanayo na maradhi ya mifupa. Katika tafiti zingine zilizofanywa zimethibitisha kuwa mmea wa manjano hufanya kazi vizuri za kuondoa maumivu ya mifupa k**a ilivyo katika dawa aina ya Ibuprofen.
MBALI NA KUONDOA MAUMIVU YA MARADHI YA HAYO, MMEA PIA UNA UWEZO WA KUSAIDIA NA KUTIBU MARADHI YAFUATAYO:-
KISUKARI Utafiti wa kitaalam wa awali ulipendekeza na kushauri kuwa matumizi ya mmea wa manjano k**a tiba katika kipindi cha miezi 9 mfurulizo huweza kupunguza kiwango cha sukari katika damu kwa wangonjwa wa maradhi ya kisukari cha aina ya kwanza. 2 MATATIZO YA MACHO 3 KANSA YA UTUMBO MPANA 4 TUMBO 5 FIDHI 6 VIDONDA VYA TUMBO 7 KANSA YA NGOZI 8 FIGO 9 MUWASHO WA NGOZI 10 BARIDI YABISI 11 KIFUA KIKUU 12 HOMA YA MANJANO 13 KUHARISHA 14 UVIMBE KATIKA MFUKO WA KIZAZI 15 MATATIZO YA INNI NA NYONGO 16 MAUMIVU YA KICHWA 17 MATATIZO YA HEDHI NA MENGINEYO.
Tumia dawa ya mmea huu kwa kufuata maelekezo na ushauri wa mtaalam wa tiba za mimea.
Kwa ushauri na maelekezo ya kitabibu wasiliana nasi kupitia ukurasa huu au piga simu: +255688475708/+255748340339
Mungu akubariki akupe afya njema akuepushe na maradhi
BY DR KATWIGA NKWABHI