Njele Herbal & Organics

Njele Herbal & Organics Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Njele Herbal & Organics, Restaurant, 90, Njombe.

*TIBU BAWASILI YA NDANI NA NJE KWA UHAKIKA NA "HEMOGEL" DAWA YA ASILI YENYE UWEZO MKUBWA NA ILIYOANDALIWA KITAALAM NA WA...
09/03/2023

*TIBU BAWASILI YA NDANI NA NJE KWA UHAKIKA NA "HEMOGEL" DAWA YA ASILI YENYE UWEZO MKUBWA NA ILIYOANDALIWA KITAALAM NA WABOBEZI WA TIBA ASILI KWA UZOEFU NA TAALUMA.*
Kwa ushauri wa bure na taarifa zaidi piga SIMU NO:0764036675.

*Soma mpaka mwisho kujua zaidi kuhusu chanzo,dalili na zaidi kuhusu bawasili*

HEMOGEL NI NINI
Hii ni dawa ya asili ya kutibu bawasili ya ndani na nje kwa uhakika mkubwa.Dawa hii ipo katika dose ya kunywa na kupaka kwa kwa kudhibiti aina zote 2 za bawasili.

DOSE YA HEMOGEL
Dawa hii ina dose ya kunywa na kupaka kutegemeana na aina ya bawasili.Inaweza kutumika moja au zote kwa pamoja kutegemeana na aina ya bawasili iliyopo.

BEI:Dose ya kunywa na kupaka=45,000

UPATIKANAJI
Dawa hizi zinapatikana moja kwa moja katika maabara zetu za Ludewa na kwa wasambazaji kwa baadhi ya mikoa k**a Njombe,Songea,Arusha,Mwanza,Dodoma na Dar Es Salaam.Kwa maeneo nje ya hayo tunatuma kwa namna ambayo inafaa kulingana na eneo.

SIMU: 0764036675

*Kumbuka bawasili ni moja kati ya magonjwa ambayo bado tiba yake ni ngumu kwa upande wa madawa ya viwandani na hospitali,pia kutibu bawasili katika hatua z awali ni rahisi kuliko ikiwa sugu*

BAWASILI NI NINI?
Bawasili ni kundi la mishipa ya damu iliyovimba katika eneo la haja kubwa kwa upande wa ndani au nje ya haja kubwa.

SABABU ZA BAWASILI
1. Kuwa na Kinyesi kigumu (Constipation)
2. Kuketi kwa muda mrefu kwenye choo
3. Kuharisha (Kuhara) mara kwa mara
4. Kuvimbiwa
5. Kuwa mnene au mzito kupita kiasi
6. Kuwa mjamzito
7. Kuingiliwa kinyume na maumbile
8. Kutokula vyakula vyenye nyuzinyuzi
9. Kuinua/Kunyanyua vitu vizito mara kwa mara
10. Umri mkubwa

DALILI ZA BAWASILI
1. Kuwasha katika maeneo yaliyozunguka sehemu ya haja kubwa
2. Maumivu au usumbufu
3. Kuvimba kuzunguka sehemu ya kutolea haja kubwa
4. Mara nyingine yaweza Kuvuja damu au k**a michubuko
5. Kutokwa na kinyama baada ya kwenda haja
6. Kutoa haja/kinyesi chenye damu na maumivu yasiyo makali. Unaweza kuona kiasi kidogo cha damu nyekundu kwenye haja yako.
7. Maumivu na muwasho sehemu ya haja

*Kwa maelezo ya kina kuhusu bawasili na matibabu yake piga simu 0764036675*

Address

90
Njombe
90

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Njele Herbal & Organics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category