11/09/2026
🍽️ KARIBU ROOFTOP RESTAURANT
Mahali pazuri pa kupata chakula kitamu, huduma nzuri na mazingira mazuri kwa ajili ya familia, marafiki au wewe mwenyewe.
Kuanzia lunch hadi dinner — tunakukaribisha uje uonje ladha yetu. ❤️
📍 Karibu nasi leo
📞 mwanza- nyerere road nata-Almasi tower.. floor no 9.
Karibu ule, upumzike na ufurahie.