KUKUSHOP

KUKUSHOP We sell whole chicken in wholesale and retail plus cut-ups for affordable price.

15/07/2026

Tembelea ujipatie choma sausages!

Mapishi bora huanzia kwenye uchaguzi wa nyama unayoweka jikoni.Breast Boneless ni chaguo linalokupa nafasi ya kuonyesha ...
16/06/2026

Mapishi bora huanzia kwenye uchaguzi wa nyama unayoweka jikoni.

Breast Boneless ni chaguo linalokupa nafasi ya kuonyesha ubunifu wako kwenye kila pishi.

Tuambie kwenye komenti, ni mapishi gani unayopenda zaidi kutumia Breast Boneless?




Sio kila kumbukumbu nzuri ya familia hutengenezwa kwenye safari au outing.Nyingi hutengenezwa mezani, mkikaa pamoja, mki...
02/06/2026

Sio kila kumbukumbu nzuri ya familia hutengenezwa kwenye safari au outing.

Nyingi hutengenezwa mezani, mkikaa pamoja, mkicheka na kufurahia chakula kizuri. Kwa sababu Hungarian Choma Sausages zimeandaliwa kuongeza ladha kwenye nyakati hizo muhimu, kwa sababu family moments zinastahili ladha ya kipekee.

Tembelea KukuShop yetu au supermarket iliyo karibu nawe ujipatie pakiti yako leo.

Kwa huduma ya haraka tupigie, +255 65 944 1599




Mlo wako unakuwa wa tofauti zaidi ukikamilishwa na minofu ya kuku yenye ladha tamu na protini ya kutosha.Jipatie leo pak...
25/05/2026

Mlo wako unakuwa wa tofauti zaidi ukikamilishwa na minofu ya kuku yenye ladha tamu na protini ya kutosha.

Jipatie leo paketi yako na uonje ubora wa kweli wa nyama ya kuku.

Kwa huduma ya haraka tupigie, +255 65 944 1599




Minofu ya kuku ni miongoni mwa vyakula vyenye protini nyingi na mafuta kidogo sana.​Inapendekezwa sana kwa watu wanaozin...
25/02/2026

Minofu ya kuku ni miongoni mwa vyakula vyenye protini nyingi na mafuta kidogo sana.​

Inapendekezwa sana kwa watu wanaozingatia afya ya mwili, kufanya mazoezi, au wanaotaka kula mlo wenye uwiano bora wa virutubisho kutumi Breast Boneless.

Zinapatikana kwenye Kukushop yetu




Tembelea
21/02/2026

Tembelea

Ule msimu wa kuonyesha upendo kwa vitendo umefika, nasi tupo sambamba nawe kukufanikishia hilo na bidhaa zetu bora za ny...
13/02/2026

Ule msimu wa kuonyesha upendo kwa vitendo umefika, nasi tupo sambamba nawe kukufanikishia hilo na bidhaa zetu bora za nyama ya kuku na soseji.​

Tembelea Kukushop yetu kujipatia bidhaa zetu msimu huu wa wapendanao. ​

Kwa mawasiliano zaidi 📞 +255 65 944 1599




Tembelea  sasa unipatie nyama HALAL, safi na bora ya kuku!
13/02/2026

Tembelea sasa unipatie nyama HALAL, safi na bora ya kuku!

Raha ya biryani ule siku ya Ijumaa🤩Interchick tunahakikisha unapata nyama bora ya kuku na HALAL kwenye KukuShop yetu ili...
13/02/2026

Raha ya biryani ule siku ya Ijumaa🤩

Interchick tunahakikisha unapata nyama bora ya kuku na HALAL kwenye KukuShop yetu ili kuboresha mapishi yako.​

Tembelea KukuShop yetu au Supermarket iliyopo karibu nawe ujipatie paketi yako leo kuanzia ujazo wa 1kg hadi 1.5kg.​

📞 Kwa maelezo zaidi tupigie, +255 65 944 1599




Karibu  ujipatie Choma Sausages!
11/02/2026

Karibu ujipatie Choma Sausages!

Address

Aga Khan Rd, Rindi Lane Street
Moshi
7304

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00
Sunday 09:00 - 18:00

Telephone

+255659441599

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KUKUSHOP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category