Abuu Asmaa Cafe, Dodoma

Abuu Asmaa Cafe, Dodoma Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Abuu Asmaa Cafe, Dodoma, African Restaurant, 10th Avenue, Dodoma.

Karibuni sana hapa Abuu Asmaa Cafe (Barabara ya 10 jijini Dodoma) kwa huduma ya chakula safi, supu na salads, na vitafunwa vya aina mbalimbali, pamoja na vinywaji baridi.

Asubuhi, usiku na muda wote katikati... tupo hapa  kukuhudumia 😋
21/01/2023

Asubuhi, usiku na muda wote katikati... tupo hapa kukuhudumia 😋

Utulivu na ladha mwanana. Karibu Abuu Asmaa Cafe, Dodoma] .  *Tunafanya delivery, *tunapokea order pia *Biryani Kila Sik...
20/01/2023

Utulivu na ladha mwanana. Karibu Abuu Asmaa Cafe, Dodoma] . *Tunafanya delivery,
*tunapokea order pia
*Biryani Kila Siku

Please Follow us Abuu Asmaa Cafe, Dodoma]

14/11/2021
 ✨
20/08/2021

✨

13/08/2021

Tunawakaribisha katika bucha yetu iliyopo pembeni ya Abuu Asmaa Cafe, Dodoma kwa mahitaji ya kitoweo.

Nyama fresh ya ng'ombe, samaki wa ziwani na wa maji-chumvi WANAPATIKANA.

Tunaendelea kujivunia huduma bora, ikiwemo maegesho ya kutosha.

Karibuni nyote, mjuze unayemjali.

27/02/2021

Post a review to our profile on Google

  na ladha... Karibu sana!
10/09/2020

na ladha...
Karibu sana!





11/05/2020

Jikinge na Wakinge wengine dhidi ya maambukizi ya Virusi vya Corona. Ni wajibu wetu sote kuzuia kuenea kwa COVID-19.
💪



Chukua tahadhari dhidi ya virusi vya Corona. Tunakujali, karibu Abuu Asmaa Cafe, Dodoma
19/03/2020

Chukua tahadhari dhidi ya virusi vya Corona. Tunakujali, karibu Abuu Asmaa Cafe, Dodoma

Address

10th Avenue
Dodoma

Opening Hours

Monday 08:00 - 00:00
Tuesday 08:00 - 00:00
Wednesday 08:00 - 00:00
Thursday 08:00 - 00:00
Friday 08:00 - 00:00
Saturday 08:00 - 00:00
Sunday 08:00 - 00:00

Telephone

255652381793

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abuu Asmaa Cafe, Dodoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share