23/03/2026
🥚 JE, UNATAKA KUPATA MAYAI 90% -95% KILA SIKU NA KUPUNGUZA GHARAMA ZA CHAKULA? 🥚
Mfugaji makini, unajua siri ya kupata faida kubwa kwenye kuku wa mayai (layers)? Siri haipo kwenye idadi ya kuku tu, bali ipo kwenye MFUMO WA UFUGAJI.
Kwanini utumie Cages (Mabanda ya Kisasa) badala ya kufugia chini?
✅ Huokoa Chakula (Zero Wastage): Kuku hawezi kumwaga chakula wala kukivuruga. Kila punje ya chakula inageuka kuwa yai!
✅ Usafi na Kinga ya Magonjwa: Kinyesi kinaanguka chini mbali na kuku. Hii inakata mazalia ya wadudu na magonjwa k**a Coccidiosis (Kuhara damu).
✅ Mayai Safi na Salama: Mayai yanashuka yenyewe kwenye sehemu maalum. Hakuna mayai kupasuka, kuliwa na kuku, au kuchafuliwa na kinyesi.
✅ Usimamizi Rahisi: Ni rahisi kumtambua kuku asiyetaga, mgonjwa, au anayekula bila kutoa matokeo. Unahifadhi muda na nguvu kazi!
✅ Nafasi Ndogo, Kuku Wengi: Cage inakuwezesha kufuga kuku wengi kwenye eneo dogo sana kwa sababu ya mfumo wa ghorofa (tiers).
🚀 BORESHA BANDA LAKO LEO! 🚀
Tunatoa Cages bora na imara (Galvanized) ambazo hazishiki kutu na zinadumu kwa miaka mingi.
📦 ZINAKUJA NA:
Mifumo ya maji ya Automatic (Ni***es).
Sehemu za kulia chakula (Feeders).
Rahisi kufunga na kusafisha.
📍 Tupo: Kibaha, Pwani
📞 Wasiliana nasi sasa: +255 742922995,
💬 Tuma ujumbe (DM) kwa ushauri wa bure wa jinsi ya kuanza!
Fuga kisasa, vuna faida! 📈 MFUGAJI UKISHINDWA UJAAMUA