Mtwa Ze Don

Mtwa Ze Don your WelCoMe

31/03/2026
Nimekuwa Mzawa Mpya Katika  Uzao Mpya,Kabla Ya Kufikia Umri Huu Wa Kujitambua Na Kuishi Katika Ardhi Hii Tukufu Ya Dunia...
31/03/2023

Nimekuwa Mzawa Mpya Katika Uzao Mpya,Kabla Ya Kufikia Umri Huu Wa Kujitambua Na Kuishi Katika Ardhi Hii Tukufu Ya Dunia MAMA Alinihasa Kuhusu Maisha Ya Hapa.

Aliniambia Nijifunze Kuandika Kwenye Mchanga Yale Yote Yanayoniumiza MOYO Ili Upepo Na Mvua Vikija Yaweze Kufutika Kabisa. Pia Aliniambia Napaswa Kuandika Kwenye Mwamba Yale Yote Yanayonipa Furaha Na Amani Kwani Hapo Hata Upepo Na Mvua Vikipiga Kamwe Furaha Yangu Haitofutika.

Hakusahau Kunihusia Kuhusu Kujenga Imani Yako Kwenye Mwamba Imara, Hata Majaribu Yakija Yanikute Nimesimama Imara, Huku Nikiwasamehe Wale Wote Wanaonikosea.

Hyo Ndyo Siri Ya Kuwa Hv Ninavyoishi Mpaka Kufkia Umri Huu

Sina Mengi Zaidi Ya Kujitakia Heri Kwenye Mfanano Wangu Huu Wa Kuzaliwa.........MUNGU Akanijaalie Kila Linalonistahiliii.

HAPPY BIRHDAY TO ME MWANAMTWA , HAPPY BIRTHDAY TO ME BIG POPER

⚓️
22/02/2022

⚓️

SIJUI ulikuwa wapi ila mimi nilikuwa kule mbali. Kwenye upepo mkali, mvua kiasi na baridi lisiloeleweka.‐Niliishi kule. ...
11/10/2021

SIJUI ulikuwa wapi ila mimi nilikuwa kule mbali. Kwenye upepo mkali, mvua kiasi na baridi lisiloeleweka.

Niliishi kule. Niliishi kivyangu, hisia zangu na utamaduni wangu. Kisha baadaye maajabu yakatokea.

Macho yangu yakakutana na wewe. Wewe mwenye vingi vya kunifurahisha na matendo ya kunishangaza. Siku chache baadaye nikakupa mwaliko.

Mwaliko wa kuingia katika dunia yangu. Ukakubali. Sasa tunaishi kwetu. Kwenye kila kitu.

Tuna utamaduni na imani yetu. Tuna michezo na hisia zetu. Hatuhitaji zaidi. Wanasema Kuna vingi hatuna? Hatuvihitaji. Dunia yetu ni ndogo yenye raha na aihitaji mengi ya kutuchosha.

Ya kwetu yanastahili. Yamejaa na kututosha. Yamefuta kila tusichokitaka na kuandika yote yenye kufaa kuwepo. It's our story.

BiG best biriyan kila siku ya ijumaaFree delivery teGetaBiriyan kuku7000Biriyan nyama5000
23/09/2021

BiG best biriyan kila siku ya ijumaa
Free delivery teGeta
Biriyan kuku7000
Biriyan nyama5000

Tumafanya delivery karibuni sanAA 🍉 tupo tegeta nyuki stand
05/08/2021

Tumafanya delivery karibuni sanAA 🍉 tupo tegeta nyuki stand

Uko Single, Pia Hauna Furaha..Rudi Kwa Mungu Tu..🩸
17/08/2020

Uko Single, Pia Hauna Furaha..

Rudi Kwa Mungu Tu..🩸

6 months of hard work and focus can put you 5 years ahead in life. 👊🏽
26/07/2020

6 months of hard work and focus can put you 5 years ahead in life. 👊🏽

K**a umekulia katika mazingira ya shida ni rahisi sana kuwa na hasira na wenzio ambao walikulia maisha ya kupata kila ki...
10/06/2020

K**a umekulia katika mazingira ya shida ni rahisi sana kuwa na hasira na wenzio ambao walikulia maisha ya kupata kila kitu. Tujitahidi tu sana kuweka hasira hiyo katika kutafuta cha kwetu ili watoto wetu na sie wenyewe tuweze pata kila kitu tunachotaka maishani.. 😎😎😎

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255686874734

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtwa Ze Don posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share