Realtiez

Realtiez realtiez.com ni website maalum kutangaza nyumba ziuzwazo,zipangishwazo na pia wamiliki,madalali wana KARIBUNI.

realtiez.com Hii ni page maalum kwa wamiliki/watafutaji wa nyumba watakao kuuza ama kupangisha,kutangaza kupitia website yetu bure kabisa.Kwa madalali wanaweza ku sign up na kulist nyumba,viwanja vya wateja wao kwa makubaliano na uongozi wetu.Pia kwa wewe ambae unatafuta nyumba ya kupanga kwa ajili ya biashara,kuishi unaweza tembelea page yetu na kujichagulia miongoni mwa nyumba zilizoorodheshwa.

Pia tunaruhusu wamiliki wa Lodges,Hotels,Guest Houses,Residential/commercial apartments ,Ramani na Viwanja kuwasiliana nasi ili kuweza kulist na kuwafikia wateja wengi zaidi. Lengo letu kubwa ni kuwa daraja kati ya wamiliki majengo,madalali na wateja wao ili kurahisisha Uuzaji,Ununuzi na Upangaji nyumba.

Address

Mikocheni, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
14112

Telephone

7903167805

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Realtiez posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Realtiez:

Shortcuts

Share