Maisha ya wasanii wa bongo

Maisha ya wasanii wa bongo 🔥 Habari moto za wasanii wa Bongo
🎤 Gossip | Maisha | Updates
📩 Business & promos inbox

TUKIO LA KIKATILI KWA MWANAFUNZI WA CHUO ,   Innocentia Avinu (25) mwanafunzi wa Chuo wa Mwaka wa pili kutoka Ghana alip...
15/06/2026

TUKIO LA KIKATILI KWA MWANAFUNZI WA CHUO , Innocentia Avinu (25) mwanafunzi wa Chuo wa Mwaka wa pili kutoka Ghana alipatikana akiwa amefariki pembezoni mwa ufukwe baada ya siku chache familia yake kutangaza kutoweka kwake.

Mwanadada huyo Aliwaambia marafiki zake siku ya Alhamisi kuwa anaenda kukutana na Mwanaume tajiri kwa mara ya kwanza,lakini hapo baadae hakurudi,hivyo walijaribu kumtafuta kwa njia kumpigia simu lakini hawakufanikiwa kumpata. Familia ilitangaza kutoweka kwake siku ya Ijumaa baada ya kumtafuta bila kumpata. Siku ya Jumamosi, mwili wa Innocentia ulioneakana kwenye ufuo wa Cape Coast akiwa amekatwa ulimi, matiti na sehemu yake ya siri.

Nini funzo Kwa watoto wa k**e ? Weka comment Yako hapo chini pia ni follow Kwa update zaidi

kupanga nikuchagua
15/06/2026

kupanga nikuchagua

TANZIA 🕯️🇹🇿Leo taifa letu limekumbwa na misiba miwili…Asubuhi tumepokea taarifa ya msiba wa Spack, msanii wa Bongo Fleva...
27/04/2026

TANZIA 🕯️🇹🇿
Leo taifa letu limekumbwa na misiba miwili…
Asubuhi tumepokea taarifa ya msiba wa Spack, msanii wa Bongo Fleva.
Jioni hii tena tumepokea taarifa ya kufariki kwa mzee wetu Hashimu Kambi, nguli wa Bongo Movie.

Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi, Ameen 🤲🏻

Habari ya wakati huu ndugu zangu. Kuna mtoto Amepotea Yupo Uyole Mbeya inaonekana hana kumbukumbu japo Jina lake anakumb...
13/04/2026

Habari ya wakati huu ndugu zangu. Kuna mtoto Amepotea Yupo Uyole Mbeya inaonekana hana kumbukumbu japo Jina lake anakumbuka, inasemakana aliokotwa VETA MBEYA

Yupo Uyole Tangu jana tarehe 12/April2026
Tunaomba kusambaza ujumbe huu Kwenye magrupu ili k**a kuna ndugu au mtu anamfahamu tuweze kumsaidia.

Kwa majina anaitwa

1. Mary Huruma Siame
2. Mary Siame Huruma Robert

Mawasiliano
0752828467 Aliye muokota
0737901414 Jirani na Alipo
0714140007 Jirani na Alipo

Ubarikiwe kwa kusambaza ujumbe huu, Asante

Mdau anaomba ushauri
23/03/2026

Mdau anaomba ushauri

TAARIFA KWA UMAA WANATAFUTWA NDUGU
17/03/2026

TAARIFA KWA UMAA WANATAFUTWA NDUGU

K**a una tatizo la kiafya au unajua mtu anayehitaji msaada wa kiafya lakini hana uwezo wa kupata ushauri au msaada kwa w...
15/03/2026

K**a una tatizo la kiafya au unajua mtu anayehitaji msaada wa kiafya lakini hana uwezo wa kupata ushauri au msaada kwa wakati, usisite kunitumia ujumbe (DM).
Lengo langu ni kusaidia jamii kwa kushirikiana, kuelimishana na kuelekezana sehemu sahihi za kupata msaada. Afya ni muhimu sana, na wakati mwingine mtu anahitaji tu kusikilizwa, kupewa ushauri au kuelekezwa.
Usione aibu kuwasiliana nami. Ujumbe wako utaheshimiwa na kutunzwa kwa faragha. Pamoja tunaweza kusaidiana na kujenga jamii yenye afya bora.
Karibu DM wakati wowote. 🤝

TABIA YA UKIMWI KWA MSIOJUA!!!!! Jamaaaan Hawa watu ila baadhi unaweza mheshimu ila akafanya juu chini uwe na hali yake ...
09/03/2026

TABIA YA UKIMWI KWA MSIOJUA!!!!! Jamaaaan Hawa watu ila baadhi unaweza mheshimu ila akafanya juu chini uwe na hali yake akaamua kulala na mpenzi/mume wako na akafanya juu chini amuambukize ili nawewe unase alafu Sasa HAWATAKI ushauri yaaan ukiwashauri utasikia Kwan unawaza ukimwi unaijua cancer yaaan ukimwi mafuta ya kupaka tyu saivi😂😂😂😂ila mda wakumeza punje wanatamani kulia na msilolijua saivi awapewi vikopo wanapewa kwenye kifungashio aziliii chingilichingili pimeni afya ukimwi unatesa Kuna mda unabana mbavu kishenzi

09/03/2026

Address

Mkwajuni
Dar Es Salaam
123456

Telephone

+255653144056

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maisha ya wasanii wa bongo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share