Ekama Animal Feeds

Ekama Animal Feeds Jenga ufugaji bora kwa kutumia chakula cha ek**a feeds

Tunawatakia heri ya sikukuu ya nanenane, wakulima na wafugaji wote. Endelea kuchagua ek**a animal feeds
08/08/2026

Tunawatakia heri ya sikukuu ya nanenane, wakulima na wafugaji wote. Endelea kuchagua ek**a animal feeds

Tunapenda kuwatangazia badiliko la bei ya vyakula vya Ek**a Animal FeedsKuanzia Tarehe 1/8/2026 Vyakula vya ek**a vitaku...
26/07/2026

Tunapenda kuwatangazia badiliko la bei ya vyakula vya Ek**a Animal Feeds

Kuanzia Tarehe 1/8/2026 Vyakula vya ek**a vitakuwa vinapatioana kwa bei elekezi k**a zilivyo ainishwa hapo juu.

Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi au fika katika ofisi zetu.

Unahangaika na chakula kisichofaa katika uzalishaji wa mayai? Jibu lako linapaswa kuwa chakula cha layers kutoka Ek**a A...
21/07/2026

Unahangaika na chakula kisichofaa katika uzalishaji wa mayai?

Jibu lako linapaswa kuwa chakula cha layers kutoka Ek**a Animal Feeds, chakula hiki kimetengenezwa kwa kuzingatia ubora na viwango vyote vya sokoni.

Wasiliana nasi sasa au fika katika vituo vyetu vya mauzo kupata chakula chako.

Tupo karibu nawe kuhakikisha kuku wako wanapata rishe bora…..wasiliana nasi sasa
15/07/2026

Tupo karibu nawe kuhakikisha kuku wako wanapata rishe bora…..wasiliana nasi sasa

Tumefika karibu nawewe sasa, wasiliana nasi au fika kwenye vitu vyetu mbali mbali ili kupata chakula na ushauri kwa ajil...
13/07/2026

Tumefika karibu nawewe sasa, wasiliana nasi au fika kwenye vitu vyetu mbali mbali ili kupata chakula na ushauri kwa ajili ya ukuaji wa kuku wako.

Siku ya Tarehe 1.7.2026 tulifanikiwa kufungua tawi jipya la **a_animal_feeds upande wa Gongo la mboto, Dar es Salaam. Ta...
09/07/2026

Siku ya Tarehe 1.7.2026 tulifanikiwa kufungua tawi jipya la **a_animal_feeds upande wa Gongo la mboto, Dar es Salaam. Tawi hili linapatikana Mombasa karibu na Moshi Bar.

Katika tawi hili utajipatia:
✅vyakula kwa ajili ya kuku (Broilers & Layers)
✅Ushauri kutoka kwa madaktari wa Ek**a
✅Huduma ya kutembelewa katika mradi au shamba lako

Wasiliana nasi zaidi kwa namba: 0704781669

Heri ya maadhimisho ya sabasaba
07/07/2026

Heri ya maadhimisho ya sabasaba

Usipate tabu tena! Tumefika karibu yako zaidi, kwa wateja wa Gongolamboto na maeneo ya karibu sasa unaweza fika kwenye c...
02/07/2026

Usipate tabu tena! Tumefika karibu yako zaidi, kwa wateja wa Gongolamboto na maeneo ya karibu sasa unaweza fika kwenye center yetu mpya kwa huduma bora zaidi

Unawaza utapata wapi utatuzi wa changamoto zinazokusumbua katika safari yako ya ufugaji?🐓Karibu kesho tarehe 1.7.2026 kw...
30/06/2026

Unawaza utapata wapi utatuzi wa changamoto zinazokusumbua katika safari yako ya ufugaji?🐓

Karibu kesho tarehe 1.7.2026 kwenye ufunguzi wa tawi letu jipya upate ushauri kutoka kwa madaktari wetu wote.

📍Tawi jipya lipo Mombasa - Gongolamboto
☎️ 0704781669

Tunakukaribisha bila kukosa

🎉 TAWI JIPYA, HUDUMA ZILE ZILE BORA! 🐔🌾Habari njema kwa wafugaji wa Gongo la Mboto, Mombasa na maeneo ya jirani! Sasa hu...
27/06/2026

🎉 TAWI JIPYA, HUDUMA ZILE ZILE BORA! 🐔🌾

Habari njema kwa wafugaji wa Gongo la Mboto, Mombasa na maeneo ya jirani! Sasa huna sababu ya kusafiri mbali kupata chakula bora cha mifugo. Ek**a Animal Feeds imekuletea huduma karibu zaidi kupitia tawi letu jipya.

Kuanzia 01 Julai 2026, utapata:
✅ Chakula bora cha kuku na mifugo
✅ Usafiri BURE wa kupeleka bidhaa
✅ Ushauri wa Daktari wa Mifugo BURE
✅ Huduma za haraka na zenye uhakika

📍 Center ya Ek**a Animal Feeds – Mombasa, Gongo la Mboto
📞 0704 781 669

Karibu ujionee ubora wa bidhaa na huduma zetu. Ek**a Animal Feeds – Tunakua pamoja na mfugaji, hatua kwa hatua kuelekea mafanikio. 💚🐓

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ekama Animal Feeds posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category