SKfood

SKfood We prepare, supply and deliver fresh, hot food packages including Mushroom food packages

14/12/2025

Yeye ameanza kulima kidogo sana kwa lengo la familia, lakini faida ni kubwa mno!

14/12/2025

Twende kazi...unalima, unakula, unapata pesa, tupo hapa kwa ajili yako, be the first! Piga simu 0767209484, 0713600915, 0740450101

Kwanini uugue kisha uteseke na unaweza kujikinga? Matibabu ni ghali sana ndugu zangu. Eat fresh, stay healthy.
18/01/2021

Kwanini uugue kisha uteseke na unaweza kujikinga? Matibabu ni ghali sana ndugu zangu. Eat fresh, stay healthy.

God has a plan & reason for you to be in 2021. Don't give up,  what ever it is, will be good at the end.
17/01/2021

God has a plan & reason for you to be in 2021. Don't give up, what ever it is, will be good at the end.

Small is Beautiful. Taam sana hii, waonjeshe watoto wako leo, na katu hawatoacha kula kila siku. Tumia Uyoga sasa! Nunua...
17/09/2020

Small is Beautiful. Taam sana hii, waonjeshe watoto wako leo, na katu hawatoacha kula kila siku. Tumia Uyoga sasa! Nunua Uyoga nikuelekeze kupika!

Morning! K**a hujawahi kula Pizza katika maisha yako, basi Anza na hii.  . Vitamu huwa havisimuliki rafiki, ndiyo maana ...
17/09/2020

Morning! K**a hujawahi kula Pizza katika maisha yako, basi Anza na hii. . Vitamu huwa havisimuliki rafiki, ndiyo maana wahenga wetu walisema mchovya asali huwa haachi ng'oo. Nunua Uyoga nikuelekeze kupika!

Leo ni mwendo wa SOUP tu! Hii Soup balaa lake si dogo mwilini. Kinga na kutibu haya: Kansa, Presha, Kisukari, Vidonda vy...
16/09/2020

Leo ni mwendo wa SOUP tu! Hii Soup balaa lake si dogo mwilini. Kinga na kutibu haya: Kansa, Presha, Kisukari, Vidonda vya tumbo, Upungufu wa damu, Upungufu wa kinga mwili... n. k. Anza kutumia Uyoga sasa ili magonjwa hayo yawe historia kwako. Kumbuka, kinga ni gheri kuliko tiba!

  kwa vitendo 2020 tunatoboaAcha kunywa Soup za ajabu. Anza kutumia Uyoga sasa.
16/09/2020

kwa vitendo 2020 tunatoboa
Acha kunywa Soup za ajabu. Anza kutumia Uyoga sasa.

  kwa vitendo 2020 tunatoboa*Keki ya Uyoga* . Huwezi kukwepa kula Uyoga, kwa sababu hutoa mbadala wa mapishi mengi ambay...
13/09/2020

kwa vitendo 2020 tunatoboa
*Keki ya Uyoga* . Huwezi kukwepa kula Uyoga, kwa sababu hutoa mbadala wa mapishi mengi ambayo hupendwa na wengi. Jamani Maharusi kulishana mingano sasa baaasi! Tengeneza keki ya Uyoga sasa ujitofautishe na wengine lakini pia ulinde na ukinge afya za wageni wako. Taaam sana hiii

  kwa vitendo 2020 tunatoboaMzigo upo wakutosha sasa, hakuna kugombea tena, tuambie unahitaji kilo ngapi tukuhudumie, ut...
27/08/2020

kwa vitendo 2020 tunatoboa
Mzigo upo wakutosha sasa, hakuna kugombea tena, tuambie unahitaji kilo ngapi tukuhudumie, utamu wake unafahamika. Kula Uyoga kulinda na kujenga mwili. K**a una sumbuliwa na presha, Kisukari, miwasho na vipele au chunusi, Vidonda vya tumbo, upungufu wa damu ama kinga mwili, k**a una alej ya kutokula nyama, tatizo la homon. Jibu ni Uyoga tu! Wasiliana nasi kwa 0713600915 au 0756985792. .

Address

34113 DSM
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255713600915

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SKfood posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SKfood:

Share

Category