28/08/2026
Kiongozi wa Vijana | Mugwe Ward
Agriculture CS Mutahi Kagwe ametuletea nane (8) milk coolers kwa dairy farmers wetu wa Tharaka-Nithi!
Handover ilifanyika Kajiunduthi Stadium, akiwa na Governor Muthomi Njuki, Deputy Governor Nyaga Muisrael na viongozi wengine.
- 6 coolers kutoka National Government
- 2 kutoka County Government
Governor Njuki amesema Kenya Kwanza imepunguza gharama ya uzalishaji kwa kiasi kikubwa:
Fertilizer imeshuka kutoka KSh 7,000 hadi KSh 2,000
Sexed semen kutoka KSh 9,000 hadi KSh 1,500
Certified seed imeshuka 50%
Hii ni maendeleo ya kweli kwa mwananchi.
Kupunguza post-production losses + kuongeza mapato ya wafugaji.
Sisi vijana wa Mugwe tunaunga mkono kila hatua inayoboresha maisha ya wafugaji wetu.
Development lazima ifike chini!