24/05/2026
Wakulima wengi hutumia mbolea bila kwanza kupima udongo wao β matokeo yake ni gharama kubwa lakini mavuno madogo.
Kupima udongo na kurekebisha tindikali kwa kutumia chokaa ni hatua muhimu inayosaidia mbolea kufanya kazi vizuri, kuongeza afya ya udongo na kuleta mavuno bora zaidi.
Kwa wafugaji wa kuku, Calcium ni kirutubisho muhimu kwa ukuaji, afya na utagaji bora wa mayai yenye maganda imara.
ABM tunatoa chokaa bora kwa kilimo pamoja na Calcium ya lishe kwa kuku ili kuongeza uzalishaji wenye tija.
ABM β Kurejesha Afya ya Udongo, Kukuza Mafanikio.