Mwasity Kawega

Mwasity Kawega Developmental Activities Conducted at Pahi DIVISION Kondoa

Michezo ni Afya, Michezo ni furaha na Amani, Michezo huleta ushirikiano na mshikamano. Tudumishe michezo!
22/02/2025

Michezo ni Afya, Michezo ni furaha na Amani, Michezo huleta ushirikiano na mshikamano. Tudumishe michezo!

21/02/2025

Kazi inaendelea

08/02/2025

Huu ni Mkutano wa Wananchi uliofanyika katika Kijiji cha Chubi, kata ya Itaswi Tarafa ya Pahi. Mkutano huu ulioongozwa na Afisa Tarafa wa Pahi. Bi. MWASITI KAWEGA ulikua na Agenda kadhaa zikiwemo kuhimiza suala la Ulinzi na Usalama, kuhamasisha shughuli za maendeleo pamoja na kusikiliza Kero za wananchi. Pahi kazi inaendelea!

07/02/2025

Hellow dear friends, Warmly Welcome to my New Page 🙏🙏

Address

P. O. BOX 35
Kondoa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwasity Kawega posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category