Jay B's Grill

Jay B's Grill πŸ›πŸ—πŸ–πŸŸ: Biryani, BBQ, So much more.
⏰:Open for Delivery( from 1:30pm to 10:00pm )
☎️:Calls 0796 895 986

28/03/2026

Pilau ama Biryani ama vyote🀣. Vile upendavyo ndo utakavyoletewa karibu sana.

Piga simu 0796 895 986 tukuletee mahali ulipo.
Location πŸ“: Mwananyamala Komakoma mkabala na CRDB Bank.

Umechoka kurudia mlo kila siku?Tumekufikia kimawazo huu hapa mlo wa kitofauti kabisa siku ya leo kwa Tsh 12,000 tu, badi...
28/03/2026

Umechoka kurudia mlo kila siku?

Tumekufikia kimawazo huu hapa mlo wa kitofauti kabisa siku ya leo kwa Tsh 12,000 tu, badilisha mood yako kabisa. Chipisi vuruge from Jayb's Grill ukionja hauchomoki tena.

Piga simu 0796 895 986 muda huu tukufikishie popote ulipo.
Sausage Flavora 12,000
Fillet Flavora 12,000
Chicken Flavora 15,000.

πŸ“Mwananyamala koma koma Opposite to CRDB Bank Mwananyamala.

Kiplate ndo hiko, baada ya GYM njoo utengeneze mwili wako.Piga simu 0796 895 986 ufikishiwe popote ulipo. Location πŸ“: Mw...
28/03/2026

Kiplate ndo hiko, baada ya GYM njoo utengeneze mwili wako.

Piga simu 0796 895 986 ufikishiwe popote ulipo.
Location πŸ“: Mwananyamala Komakoma

Stuffed Pigeons. Msosi kutoka Afrika ya Kaskazini tumekuletea Bongo sehemu ni moja tu. Waarabu kutoka Misri hapa tunazun...
25/03/2026

Stuffed Pigeons.
Msosi kutoka Afrika ya Kaskazini tumekuletea Bongo sehemu ni moja tu. Waarabu kutoka Misri hapa tunazungumza lugha moja.

πŸ“: Mwananyamala Komakoma Mkabala na CRDB Bank.

Piga 0796 895 986 tukufikishie popote ulipo.

25/03/2026
Mambo ya Afrika ya kaskazini tumeyaleta mjini bongo. Waarabu wa Misri tunazungumza lugha moja hapaπŸ“: Mwananyamala Komako...
25/03/2026

Mambo ya Afrika ya kaskazini tumeyaleta mjini bongo. Waarabu wa Misri tunazungumza lugha moja hapa

πŸ“: Mwananyamala Komakoma Mkabala na CRDB Bank.

Piga 0796 895 986 tukufikishie popote ulipo.

Ukifika tu sema naomba kiplate. Hii huitaji kusubiri ni shwaa shwaa shwaa. πŸ“: Mwananyamala Komakoma Mkabala na CRDB Bank...
23/03/2026

Ukifika tu sema naomba kiplate. Hii huitaji kusubiri ni shwaa shwaa shwaa.

πŸ“: Mwananyamala Komakoma Mkabala na CRDB Bank.

Piga 0796 895 986 tukufikishie popote ulipo.

K**a kuna vitu vya kuchukulia personal basi ni lunch🀝Fika uagize MAKANGE KUKU VEGETABLE RICE Ujilambe.Umekula? Piga simu...
14/03/2026

K**a kuna vitu vya kuchukulia personal basi ni lunch🀝
Fika uagize MAKANGE KUKU VEGETABLE RICE Ujilambe.

Umekula? Piga simu 0796 895 986 chap uletewe.

Muagizie umpendae.

11/03/2026

πŸŒ™ Ramadhani inakaribia kufikia tamati…
Shukrani kwa kila aliyeshiriki nasi katika futari za mwezi huu mtukufu.
Ilikuwa furaha kubwa kuwahudumia na kushiriki pamoja nyakati hizi za baraka.

Karibu Jayb’s Grill leo ufurahie futari tamu, katika mazingira mazuri pamoja na familia na marafiki 🀍

🀲 Uji, maji na tende bure kwa kufungua swaumu

πŸ“ž Orders & Reservations: 0796 895 986

Tuendelee kushukuru kwa baraka za Ramadhani. πŸŒ™βœ¨

Ramadhan Kareem.
02/03/2026

Ramadhan Kareem.

Address

75 Mwinyijuma Road
Dar Es Salaam

Opening Hours

Friday 09:00 - 22:00
Saturday 09:00 - 22:00
Sunday 09:00 - 22:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jay B's Grill posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category