City Pork Delicious

City Pork Delicious City Pork Delicious is a Restaurant/Pub. We Offer Pork Ribs, Pork Chops, Roast Pork, Pork Stirfry etc

Pork Platter: The ultimate squad binder!💥🍽️"​Hakuna kinachounganisha washkaji vizuri k**a msosi mkali wa pamoja. Achana ...
08/07/2026

Pork Platter: The ultimate squad binder!💥🍽️"
​Hakuna kinachounganisha washkaji vizuri k**a msosi mkali wa pamoja.
Achana na story za group la WhatsApp, pigeni hodi City Pork mfurahie mchanganyiko wa ufundi uliopo kwenye sahani moja kubwa ya heshima!
So Fresh So Delicious 😋

Bonyeza link Bio kuisoma menu

For Delivery & Takeouts
Tabata: 0746 251 111
Ubungo: 0658 251 111
WhatsApp: 0775 777 222

A Taste That Speaks Volumes! 🍽️✨Leo, lunch au dinner imejijibu yenyewe. Karibu uonje Pork Wet Fry yetu maalum—imeandaliw...
04/07/2026

A Taste That Speaks Volumes! 🍽️✨
Leo, lunch au dinner imejijibu yenyewe. Karibu uonje Pork Wet Fry yetu maalum—imeandaliwa kwa ladha itakayokufanya utake kurudi tena. 😋🔥
Pure satisfaction in every bite.

Bonyeza link kwenye Bio kuisoma menu

For Delivery & Takeouts
Tabata: 0746 251 111
Ubungo: 0658 251 111
WhatsApp: 0775 777 222

Flavor on another level! 🔥Pork chops zilizopikwa kwa ustadi, zikiambatana na ndizi kaanga tamu—mlo kamili wa kukata njaa...
03/07/2026

Flavor on another level! 🔥
Pork chops zilizopikwa kwa ustadi, zikiambatana na ndizi kaanga tamu—mlo kamili wa kukata njaa na kukupa ladha halisi.

​Karibu City Pork ufurahie utamu halisi! 👋

Bonyeza link Bio kuisoma menu

For Delivery & Takeouts
Tabata: 0746 251 111
Ubungo: 0658 251 111
WhatsApp: 0775 777 222

More people, more flavor, more fun! 🍽️✨Family Platter yetu iliyo andaliwa kwa ubora iko tayari kuleta vibe kubwa kwenye ...
02/07/2026

More people, more flavor, more fun! 🍽️✨
Family Platter yetu iliyo andaliwa kwa ubora iko tayari kuleta vibe kubwa kwenye meza yenu.

Ladha ya heshima kwa ajili ya watu wa heshima
Tukutane City Pork, kiwanja cha nyumbani! 👋

​Bonyeza link Bio kuisoma menu

For Delivery & Takeouts
Tabata: 0746 251 111
Ubungo: 0658 251 111
WhatsApp: 0775 777 222

Your lunch reward is served! 🍽️🔥​Ukiona tu ufundi na muonekano wa hizi Ribs unajua kabisa ladha imenyooka. Karibu upate ...
01/07/2026

Your lunch reward is served! 🍽️🔥
​Ukiona tu ufundi na muonekano wa hizi Ribs unajua kabisa ladha imenyooka.
Karibu upate sahani yako itakayokupa tabasamu la dhati mchana wa leo.
​Karibu City Pork! 👋

Bonyeza link Bio kuisoma menu

For Delivery & Takeouts
Tabata: 0746 251 111
Ubungo: 0658 251 111
WhatsApp: 0775 777 222

Weekend mood: Pork Makange on the menu! 🕺💃Hali ya hewa inaruhusu kabisa kushusha mzigo wa Makange motomoto na kinywaji b...
29/06/2026

Weekend mood: Pork Makange on the menu! 🕺💃

Hali ya hewa inaruhusu kabisa kushusha mzigo wa Makange motomoto na kinywaji baridi pembeni. Pure bliss in every bite! Leta marafiki zako tufurahie maisha hapa City Pork.

Bonyeza link Bio kuisoma menu

For Delivery & Takeouts
Tabata: 0746 251 111
Ubungo: 0658 251 111
WhatsApp: 0775 777 222

​ ​ ​

28/06/2026

Proper fuel for a proper Shutdown! 🍗➡️🎶

Hapa ilikuwa kabla ya show ya kufuru pale Mi Casa Lounge Crew nzima ilitua City Pork kuhakikisha miili ipo sawa na hii Family Platter. 🍽️🔥

Securing the energy first!

Service with a smile, always! 🧡✨​Hapa City Pork, furaha yetu ni kuona unatabasamu kuanzia unapoingia hadi sahani yako in...
26/06/2026

Service with a smile, always! 🧡✨
​Hapa City Pork, furaha yetu ni kuona unatabasamu kuanzia unapoingia hadi sahani yako inapofika mezani kwako.
Huduma ni ya haraka, mazingira ni safi, na ukarimu ni wa kiwango cha juu.
​Njoo ufurahie huduma ya kishua mchana huu! 🚀

Bonyeza link Bio kuisoma menu

For Delivery & Takeouts
Tabata: 0746 251 111
Ubungo: 0658 251 111
WhatsApp: 0775 777 222

​ ​ ​

Stop scrolling, your lunch is ready! 🕒🔥Ukiona tu ufundi na muonekano wa hii sahani unajua kabisa ladha imenyooka. Njoo u...
25/06/2026

Stop scrolling, your lunch is ready! 🕒🔥
Ukiona tu ufundi na muonekano wa hii sahani unajua kabisa ladha imenyooka. Njoo upate mlo wa heshima utakaokupa tabasamu la dhati mchana wa leo.
​Karibu City Pork! 👋

Bonyeza link Bio kuisoma menu

For Delivery & Takeouts
Tabata: 0746 251 111
Ubungo: 0658 251 111
WhatsApp: 0775 777 222

Address

Tabata & Ubungo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255746251111

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when City Pork Delicious posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to City Pork Delicious:

Share

Category