01/10/2026
Feeders( Vyombo vya chakula vya kuku,bata,kanga nk..
🤳0759617984
Faida ya vyombo hivi ni:
■ Kina uwezo wa kuchukua chakula kingi*
■ kuku hawamwagi chakula wakiwa wanakula*
■Sio rahisi kuingiza uchafu kwenye chakula*
■Kinachukua nafasi ndogo bandani*
■Chombo kimoja kina uwezo wa kuhudumia kuku 15-20.*
■Hakina garama kubwa kukinunua*
Utakipata kwetu kuanzia Tsh. @ 10,000/=Tu
Delivery ipo popote ndani na nje ya DSm
Tupo Dsm Kimara Temboni # 0759 617 984
Send a message to learn more