Tamu Industries Limited

Tamu Industries Limited Waandaaji na wasambazaji wa bidhaa za nafaka

🌾✨ Tamu Lishe — Lishe Bora Kwa Afya Bora!💛Anza siku yako kwa nguvu na afya ukifurahia unga wenye mchanganyiko wa virutub...
10/07/2026

🌾✨ Tamu Lishe — Lishe Bora Kwa Afya Bora!💛

Anza siku yako kwa nguvu na afya ukifurahia unga wenye mchanganyiko wa virutubisho muhimu kwa familia nzima. 🥣🌱

Tamu Lishe imeandaliwa kwa ubora ili kukupa lishe yenye uwiano, ladha nzuri na nguvu ya kuendelea na shughuli zako za kila siku. 💪🏾

👨‍👩‍👧‍👦 Chaguo bora kwa familia inayojali afya.
🛒 Ipate leo na uanze safari ya maisha yenye lishe bora!

Tamu Lishe Plus ni lishe yenye virutubisho vyote muhimu kwa ajili yako na mwanao.Jaribu lishe bora na ufurahie afya na n...
06/07/2026

Tamu Lishe Plus ni lishe yenye virutubisho vyote muhimu kwa ajili yako na mwanao.

Jaribu lishe bora na ufurahie afya na nguvu thabiti katika kila kijiko.

Furahia pilipili nzuri ya Tamu Pilipili ladha ya embe! Sasa zinapatikana madukani na kwenye supwrmarkets.
29/06/2026

Furahia pilipili nzuri ya Tamu Pilipili ladha ya embe!

Sasa zinapatikana madukani na kwenye supwrmarkets.

Furahia ladha ya kipekee na lishe bora kutoka Tamu Lishe—chakula kilichoandaliwa kwa upendo, afya na ubora wa juu ili ku...
26/06/2026

Furahia ladha ya kipekee na lishe bora kutoka Tamu Lishe—chakula kilichoandaliwa kwa upendo, afya na ubora wa juu ili kukupa nguvu na kuridhisha kila mlo wako. Kila kijiko ni afya, kila ladha ni furaha.

Enjoy the rich taste and wholesome nutrition from Tamu Lishe—meals prepared with love, health, and top quality to keep you energized and satisfied every bite. Every spoon is health, every taste is joy.

🍽️✨ Tamu Pilipili Experience – Modern Dining Flavor for any type of menu!Ukitumia Tamu Pilipili hata chakula cha Shuu wa...
25/06/2026

🍽️✨ Tamu Pilipili Experience – Modern Dining Flavor for any type of menu!

Ukitumia Tamu Pilipili hata chakula cha Shuu wa banda umiza kinakuwa na ladha ya menu ya 5-star hotel! 🌶️🔥

Hii si pilipili tu bali ni experience ya dining ya kisasa inayochanganya ladha nzuri, muwasho kwa mbali na harufu nzuri.

Onja ujionee tofauti ya ladha ya kipekee!

Enjoy the best nutritious flour from Tamu Industries.Tamu Lishe gives you and your family the energy and nutrients you d...
24/06/2026

Enjoy the best nutritious flour from Tamu Industries.

Tamu Lishe gives you and your family the energy and nutrients you deserve!

🥣✨ **Tamu Lishe – Afya Bora Kila Siku!**Tamu Lishe ni chaguo bora kwa lishe yenye virutubisho muhimu vinavyosaidia mwili...
17/06/2026

🥣✨ **Tamu Lishe – Afya Bora Kila Siku!**

Tamu Lishe ni chaguo bora kwa lishe yenye virutubisho muhimu vinavyosaidia mwili kukua, kuwa na nguvu na afya bora kila siku. Ni chakula kinachochangia lishe kamili kwa watoto na familia nzima, kikisaidia kujenga mwili imara na kinga ya mwili.

💚 Kula vizuri, ishi vizuri — Tamu Lishe ni afya katika kila kijiko!

Furahia unga bora wa lishe wa Tamu Lishe
12/06/2026

Furahia unga bora wa lishe wa Tamu Lishe

Tamu Lishe Plus unga bora wa lishe unaopatikana madukani na kwenye supermarkets zote karibu nawe.Furahia unga bora wa li...
10/06/2026

Tamu Lishe Plus unga bora wa lishe unaopatikana madukani na kwenye supermarkets zote karibu nawe.

Furahia unga bora wa lishe kwa ajili ya afya yako, mwanao na familia nzima.

Address

Mori Road
Dar Es Salaam
1144

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tamu Industries Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share