13/07/2024
Sai watu wanatafuta tu vitu mbili,
Cheo ya CS Na nyama tamu k**a ya Nakfoodz 😅wewe uko side gani?
Anyway Mimi natype after nimekula zangu hapa Sasa Ni kutuma applications.
Welcome to Nakfoodz Nakuru anytime