Mama Kudzecha Fast food and snacks

Mama Kudzecha Fast food and snacks Fast food online services for Biryani, Pilau, samosa and any other ordered snack. Outside catering.

24/04/2023

Mama Kudzecha Fast food and snacks

13/03/2023

Lunch menue; wali wa N**i, samaki wa N**i, sima matumbo, maini,chapati maharagwe ya nazi,supu ya pweza mama kudzecha fast food Kwa afya Bora👌

11/03/2023
Menue yetu ya Leo in shaa Allah 🤲 supu ya kuku, supu ya nyama ya Ngo'mbe supu ya pweza, viazi, bahjia ,chapati biryani y...
10/03/2023

Menue yetu ya Leo in shaa Allah 🤲 supu ya kuku, supu ya nyama ya Ngo'mbe supu ya pweza, viazi, bahjia ,chapati biryani ya kuku na ya nyama wali wa N**i, maharagwe ya N**i ,sima matumbo wet fry na maini weka order fika ushuhudie utamu WA vyakula vyetu Mama Kudzecha Fast food and snacks

Tunawakaribisha hapo kesho majaliwa ya Mungu official opening Mama Kudzecha Fast food and snacks  kuanzia asubuhi wale W...
09/03/2023

Tunawakaribisha hapo kesho majaliwa ya Mungu official opening Mama Kudzecha Fast food and snacks kuanzia asubuhi wale WA supu ya asubuhi pia yapatikana accomodation, chakula cha ki asili kwetu chapatikana utakosaje Kwa mfano? Online delivery bado twaendelea kufanya karibuni nyote mwakaribishwa 🙏 Kwa mawasoliano 0712196657


23/02/2023
Mapema ndio best tupe order yako mapema kupitia 0712196657 pia tuko na paybill number Kwa malipo 247247 Account number 0...
09/02/2023

Mapema ndio best tupe order yako mapema kupitia 0712196657 pia tuko na paybill number Kwa malipo 247247 Account number 0712196657 mama kudzecha fast food utafurahia☺️.


Siku ni kesho tupe order mapema nasi tutakuketea Hadi mlangoni in shaa Allah 🤲 ikiwa Moto. Kudzechaaa
02/02/2023

Siku ni kesho tupe order mapema nasi tutakuketea Hadi mlangoni in shaa Allah 🤲 ikiwa Moto. Kudzechaaa

Je ijumaa yako iko vipi?  kwani mama kudzecha ana offer ya ijumaa ya tarehe 20/1/2023 wahi mapema kuweka order yako wale...
19/01/2023

Je ijumaa yako iko vipi? kwani mama kudzecha ana offer ya ijumaa ya tarehe 20/1/2023 wahi mapema kuweka order yako wale WA likoni,waa ngo'mbeni, Tsimba Golini, Tiwi, ukunda na msambweni tupo Kwa ajili yenu kudzechaaa ✌️


Kudzechaaa hii wiki tunasema chicken biryani pia itapatikana,Beef Biryani ,Pilau  samosa za pojo na nyama zote utapata w...
11/01/2023

Kudzechaaa hii wiki tunasema chicken biryani pia itapatikana,Beef Biryani ,Pilau samosa za pojo na nyama zote utapata weka order yako mapema na utaletewa Hadi ulipo in shaa Allah 🤲.


Address

Likoni
Likoni

Telephone

+254712196657

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mama Kudzecha Fast food and snacks posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share